Chapisho huru la muda mrefu liliondoka ofisi yake Moscow mnamo Novemba 9 baada ya kukabiliwa na vikwazo vya kifedha na kisheria.